Wa Tanzania muko na roho mbaya kweli kwa iyi nyimbo inakosa like nyingi kwa le gender wetu Mr blue, ata mu muchukiye kivipi, sisi wa congomani tunampenda sanaa!!🇨🇩🙌🏽tuma community yako apa🎉
One of my best SINGERS in Tanzania…bro force ukae pale juu coz wenye nafasi huwezo hawana Claim your throne bro!!! Naona kama watachelewa kukutambua now you go and gerriit🔥🙌
10000000000000% BLACK MIND PRODUCTION MEDIA APPROVED 100% GOOD MUSIC 100% TALENT 100% APPROVED 100% VIDEO 100% SOUND 100% MIX & MASTER 100% SUPPORT 100% WORLDWIDE KENYA
Ngoma noma kama unamuaminia Mr. Blue piga like🔥🔥
Wa Tanzania muko na roho mbaya kweli kwa iyi nyimbo inakosa like nyingi kwa le gender wetu Mr blue, ata mu muchukiye kivipi, sisi wa congomani tunampenda sanaa!!🇨🇩🙌🏽tuma community yako apa🎉
tunampenda sana ni msanii bora wa miaka yote anaitwa heri samir
Vraiment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉 depuis L'shi
safi
UKIFANYA KITU KIZURI KINAENDA TU,HII NGOMA SIO KALI THATS WHY UNAONA IKO NA LIKE NDOGO
Hii ngoma iko poa sema tu mnapenda ku support song za wale mashoga waliotoboa mapua na waabudu mashetani @@masanjafredd
📌📌 Balaa My favourate Rapper
Naona mshikaji urudie henzizako za uwimbaji uwache kuchana pesa zipo using'ang'anie stall Moja mkuuu
Mziki wa malegend...... Hii ni moto...❤ 🇰🇪🇰🇪
Hapa namuona yule blu 💙 wa mapozi nani kaona kama mm🎉
@@TheStreams-i4s hio nikweli mzee ngoma kali sana
Konde umeuwa sana yani noma sana, sema tanzânia wana wivu sana ndomana awasemi ukweli, yani uku mozambique umekamata kila mtaa
Oya hili goma noma tulifanye lizidi kupanda juu Zaid 🔥🔥🔥
Huyu jamaa ana code za kinyamwezi sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥sio kama Kina diamond wanavaa kishamba sana
True dat..
Wakubwa tuna star za kucheza
Kichwa kiuno na bega
Mavumba ndio kinywaji nachopenda
Nakula jasho langu January to december✅✅
Ujouzih... na Makouzih.... Ushouzih..... Mr Maujozih... 🔥🔥🔥
Mambo ya Sink na Mifereji sio??? Ha ha ha ha nyingine Tunakula nyingine kwenye Bag. Big up kaka unaua kila ngoma
Blueeeee Toka enzi za mapozi ❤❤❤❤❤nakuambia hii ni moto
bongo la talent hafu tuzo zinaishia kwa wabana pua big up bro
One of my best SINGERS in Tanzania…bro force ukae pale juu coz wenye nafasi huwezo hawana
Claim your throne bro!!! Naona kama watachelewa kukutambua now you go and gerriit🔥🙌
🎉🎉🎉sanaa blood ❤❤
Mr mapozi maujiluzi watching from kenya shar out to Barnaba
❤❤❤❤hii chuma still haizeeeki congrats legend gogogogo respect babylan
Very legendary. Very clinical. Music meets talent. MR. B. L. U. E on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Much love from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mr blue umetisha mzee baba
Mr Byser the only legend with less scandle in music industry much love bro ,, 254 inakupa loud and clear
❤❤❤ napenda sana mwyamba hii miwili
One Love From the Heart of Africa 🇧🇮🇧🇮 Cp
Huyu ndio real Simba not that other clown!🤡 I’m Malawian lakini this is one of the artists I respect in Tanzania… Mr Blue!
Oy oy kaka angu ngoma kali sana bro
Nice song Mungu awa bariki
Kabaisa Kuna Goma lake la Roho zinawauma alitoa duku duku Kwa Mlimbwende Wa Tz...Nakupenda Wema simtaki mwingine nieleweee
🔥🔥🔥🔥🔥 wakuuu mmetisha sana bonge la ngoma full ma ujuzii Mr maujuzi
Noma sana ❤❤❤ ma broo❤❤
Byser 🦁 simba much love from Kenya
Sasawa blue shout out outer KENYA
Ngoma kali inatisha from congo pokea❤❤❤❤❤❤🎉😂🎉😂pamoko saaaana
Andiken donlee 999 mpate nymbo mpya ya mm na mr blue Babylon
Mr maujuz tuuh ngoamaa kalii aseeee 🎉🎉🎉🎉 bysaqaaaaaAAAAAAAAAA
Mzee unajua sana 😁😁 wanga wameloga mpk wamechoka
10000000000000% BLACK MIND PRODUCTION MEDIA APPROVED
100% GOOD MUSIC
100% TALENT
100% APPROVED
100% VIDEO
100% SOUND
100% MIX & MASTER
100% SUPPORT
100% WORLDWIDE KENYA
Blue fundi sana
hatu ibi cha mtu hiki cha kwet tna spendi ngoma kali
Umenyonga kiroho mbaya Byser
Imenyooka sana ..kenya
"Tunakula baridi kwenye hii nchi ya joto" Moto sana 🙌
Mopao umeua hyo koras🎉🎉🎉🎉
Mwamba anajuwa Since day one
Nimekuwa wa kwanza legends is back🔥
Kali sana legend Mr blue more love from Kenya Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bro Unajua mpaka unaboa dah nawaza kwanini unakaa kimya broo dah nomaa sanaa
Babiloooon
Mkongwe Mr. maujuzi🔥🔥🔥
Wafunzee legend 💪
Yaan kwenye kulisifia bata Bayser Huna mpinzani mamaeee
Byser game ndio kwanza limeanzaa💪💪💥💥
Wanga wameroga mpaka wamekufa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Blue 💙 💙 ni umri wangu toka enzi za mapozi mpaka leo namkubali he is the best rapper of all time in Tanzania.
Ngoma Imesimama Iko Poa Kinoma Nayo 🎉🎉
This man's hight doesn't define him he's a great rapper mwanangu umeua
Watunzi wamepatana hapajakoseka jambo aisei big salute
Aiseeee Mr brue unachana fresh Sana aila naomba bas mass wasanii andgraond mtuone mtupe suppurt
Swagg utafikiri yule Blue wa zamani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
LEO SICHANI MISTARI!!, LEO NACHANA WALLET✈✈✈🔥🔥🔥
Duu mr bruuu anajua kuchana vibaya mnono
dah blue wewe ninoma hakuna hakuna hakuna hii tanzania ataingia kwakuchana kulaleki hata nusu
Aisee hili goma limetulia sana yani binafsi nimelielewa kinoma aisee mmetisha brothers🎉🎉🎉
Sijapenda nguo Mr blue amevaa inaitwaje hiyo colour zamawati au
Mashalaah akika mola kilamtu kamjalia chake imanimuhimu maana kwenyenia kunanjia 😊😊broo nitimizie ndotozangu kukuona umefikambali God blessed
Mambo ya msingi na mifereji❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Aaah sasa jeee🎉 🔵
Kaka unajuwa mr misubu ya 🐔 haaaaaa bonge langoma😮
Bayser Babylon 🎉2025🎉wa moto sana gonga like kama tuko pamoja
"Tuko pamoja" l'ancienne version du bongo rap que nous voulons, il mérite son respect
Mr.maujuzi by mr.Blue ft mopao ni hatariii 🔥🔥🔥🙌
Leo Sichani Mistari Nachana Wallet Yeah Blue Byser Nakubali Unyama Mwingii
Blue kichwa kingine hiki 🙌🙌🙌🔥🔥🔥anajua kucheza na industry ya mziki
Fundii Toka mapozi mbaka leo blue 💙🔵 wamotoo 🙌⭐💥❤️🔥
Umetishaaa Blue Blue
Baisa ilo mr blue Babylon wizzy😂😂😂😂
tembea mazima kaka gar limeshawaka kwenye gear hilo🎉🎉🎉🎉
Mopao kwere Ariff 🔥🔥🔥
Blue Byser kwere hili goma,hivyo vingoma flani nnomaaa!!!
#NyaniZee
That blue byser ..., he never disappointed 🙏🙏🙏🙏🙏🗣
Wimbo mzuri sana.kenya watching
Mr blue umeuwa mzee nadaisha collabo natoka kenya
Anza Ata na Mr embarambamba buana 😂
Wewe tafuta stivo simple boy kwanza😂
One love una baya Broo 🎉🎉
Nimefurahi..huyu ndio Bengo tuliMiss...Karibu Tena Babylon.
Toka Kenya na Support yangu.
Wanga wameroga mpaka wamedead❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥DJ preme tappin IN from nairobi👊🏿
pembeni mtoto nyonga nyoka sneki....fire
Atakae soma comments hii mwaka 2090 ajue nilikwepo
Perfect performance and classic audio plus perfect vocals =Nice track👏
Byser.........Imeisha......❤❤
Hii ni ingine moja motoo sanaa🔥🔥
Wewe ni mze wakazi kutoka zamani.samahani kwa swahili yangu mimi munyarwanda.napenda ngoma zako kutoka muda ya mapozi sisi ntunakufana
Crazy konde on his madness moment,,, dadeki one of the best song
Tupandishe Mr blue subscribers afike 200k he's a legend kwa 🎮🎯🇰🇪
Kwer kbs
Mr maujuzi rapper wakitambo mwenye pigo za kisasa tulikwambia❤
Ujawai feli biz babiloni hersamili wewe ni mnoma jah bless
Heshimaa!💥🔥
Baisaaaaaaaaaa🙌🙌
Kali mze 🔥🔥🙌
Hizi ndo code zako mzawa salute🎉🎉
Nafkir hii itakuwa album kali Sana, imeanza na moto mkali
Babylon bayser#nyani zee kitambo sana ila still upo juu
Pesa ndo ina bong tu unaweza sk zot wew me sta maujuz
Blue wewe ni nomaaa